Mkuu wa wilaya ya morogoro vijijini

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi mkoa wa morogoro Mh Sixtus Mapunda Kushoto akiwa na mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya kilosa Mh Nassor Juma katika mkutano wa kampeni ya udiwani kata ya masanzo iliyopo jimbo la mikumi.Nafasi hiyo iliachwa wazi kutokana na diwani ya kata hiyo kufariki. Mar 13, 2019 · Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Innocent Kalogeris siku ya jana Amefungua Kikao cha Kazi Cha Madiwani wa CCM wa Kata 143 za Halmashauri Tano za Mkoa wa Morogoro ambazo ni Gairo, Kilosa, Mvomero, Morogoro Mjini na Morogoro Vijijini. Kikao Hiki Kimeudhuriwa na Mameya wa Halmashauri ambao wanatokana na Chama Cha Mapinduzi, Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Morogoro, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr ...
May 11, 2016 · Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu,Graham Crew pamoja na Afisa Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt Ellen Mkondya wakitia saini katika hati za makubaliano ya kuboresha mradi wa huduma ya afya ,Zoezi la utiaji saini ulishuhudiwa na Mkuu wa wilaya ya Kahama ,Vita Kawawa(kulia) ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala,Patrick Karangwa (nyuma ya mkuu wa wilaya) pamoja na viongozi wa Mgodi wa ...

Docker 403 forbidden windows

CHAMA Cha Mapinduzi kimemaliza vikao vyake vya juu vya kupitia uteuzi wa wagombea ubunge na uwakilishi katika majimbo yote nchini huku majimbo 11 kati ya 240 yaliyopo nchini yakisubiri uamuzi wake kutolewa Agosti 17 na Kamati Kuu maalum ya CCM.
Sep 08, 2017 · WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea msaada wa vyerehani 25 kutoka katika Taasisi ya African Releaf Organization ya nchini Kuwait. Amepokea msaada huo leo (Ijumaa, Septemba 9, 2017) kwenye makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay jijini Dar es Salaam kwa niaba ya wananchi wa jimbo la Ruangwa.

Wakiongea wananchi mbele ya kamati ya maji kilimo na mifugo iliyongozwa na mwenyekiti wa kamati Prf. Peter Kusolwa kiwemo mbunge wa Rungwe magharibi Prf. David Mwakyusa mzaliwa wa kata hiyo ya masoko ambako mradi wa maji unatekelezwa, wananchi wanashangaa kuona hata mbunge wao hajawasaidia huku mkuu wa wilaya Crispin Meela akifanya ziara nyingi ...
Chama Cha Mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa makatobi wa mikoa 31 na makatibu wa wilaya 25. Orodha hiyo imetajwa leo na katibu wa itikadi ...

Ismaili centre toronto archdaily

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo ameagiza kufanyika uchunguzi wa haraka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya morogoro Vijijini Sudi Mussa Mpiri kutokana na utendaji wake kutoridhisha ikiwemo kushindwa kutekeleza miradi ya maendeleo.
Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA Prof. Raphael Chibunda amemteua Prof. Patrick Mwang’ingo kuwa kaimu rasi wa ndaki ya Solomon Mahlangu ya sayansi na Elimu iliyopo Mazimbu Manispaa ya Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya makamu wa mkuu wa chuo, uteuzi wa Prof. Mwang’ingo umeanza tangu mei 22 mwaka huu na ... Aug 02, 2016 · Askari akiwa amewakamata Viongozi wawili wa Serikali ya Kijiji waliokuwa wakituhumiwa kwa ubadhirifu wa viwanja. Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Ndugu Japhet Muogopeni Mnyagala akizungumza mbele ya Wananchi . Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Aug 22, 2014 · Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri zawadi ya picha ya jengo la makao makuu ya TAZARA akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kutoka ifakara kuelekea Kisaki wilaya ya Morogoro vijijini katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro Agosti 21,2014